2012-11-22 11:04:42

Mtandao Mpya kwa Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani 2013


Kamati ya Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 itakayofanyika mjini Rio de Janairo, imezindua mtandao mpya, utakaotumiwa na watu mbali mbali ili kuweza kupata habari maalum kuhusu maadhimisho haya. Mtandao huu kwa sasa unaweza kusomeka katika lugha zifuatazo:
Kireno, Kiingereza, Kiitaliani, Kihispania, Kijerumani, Kifaransa na Kipolandi.

Unaweza kuangalia yale yaliyomo kwenye mtandao huo kwa anuani ifuatayo:

http://www.rio2013.com

Usikose kumshirikisha jirani yako.







All the contents on this site are copyrighted ©.