2012-11-17 15:23:03

Askofu mkuu Luigi Pezzuto ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Bosnia na Erzegovina


Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, amemteua Askofu mkuu Luigi Pezzuto kuwa Balozi wa Vatican nchini Bosnia na Erzegovina. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Pezzuto alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini El Salvador na Belize.







All the contents on this site are copyrighted ©.