2012-10-11 14:47:28

Mchango wa Kanisa Katoliki Tanzania katika sekta ya elimu na afya!


Leo katika Studio za Radio Vatican, tunaye Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Katoliki Dodoma, Tanzania anazungumzia kuhusu mchango wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania katika sekta ya elimu na afya, kama sehemu ya mchakato wa Uinjilishaji wa kina, unaogusa mahitaji ya mtu mzima kiroho na kimwili. RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.