Orodha ya wajumbe wa Mkutano wa 13 wa Sinodi ya chapishwa
Kwa mujibu wa Ofisi ya Maandalizi ya Mkutano wa 13 wa Sinodi ya Kawaida ya Maaskofu,
idadi ya washiriki wa Sinodi hiyo kibara kama ifuatavyo: Ulaya 103, America 63, Afrika
50 , Asia 39 na Oceania 7. Pia kuna waalikwa watalam 45 na wahariri 49.
Kwa
kuwa orodha ni ndefu, tunawatolea tu Orodha ya kutoka Afrika ( jimbo na nchi anakotoka
katika mabano): Askofu Paul DESFARGES, S.I.( Constantine, Algeria), Askofu José
NAMBI, ( Kwito-Bié ,Angola) Asofu Clet FELIHO, (Kandi Benin)Kardinali Wilfrid Fox
NAPIER, O.F.M., ( Durban Afrika Africa), AskofuMkuu William Matthew SLATTERY, O.F.M.,(
Pretoria, jimbo kwa ajili ya kazi za kichungaji jeshini Afrika Kusini, Askofu Dèr
Raphaël DABIRÉ KUSIÉLÉ, ( Diébougou, Burkina Faso), Askofu Bonaventure NAHIMANA, (Rutana
Burundi) Askofu Mkuu Joseph ATANGA, S.I., Bertoua, na Rais wa Baraza Maaskofu Cameroon,
AskofuMkuu Cornelius Fontem ESUA,(Bamenda Cameroon), Askofu Joachim KOURALEYO TAROUNGA,
( Moundou Chad). Wengine ni Askofu Yves Marie MONOT, C.S.Sp., Ouesso jamhuri
ya congo, Askofu Nicolas DJOMO LOLA, (Tshumbe, na Rais wa Baraza la Maaskofu DRCongo.)
Kardinali Laurent MONSENGWO PASINYA, ( Kinshasa), Askofu Marcellin Yao KOUADIO, (
Yamoussoukro, Ivory Coast), Markos GHEBREMEDHIN, C.M., ( Gummi na Jimma-Bonga, Etiopia)Askofu
Mathieu MADEGA LEBOUAKEHAN, ( Port-Gentil Gabon) Patrick Daniel KOROMA, (Kenema na
Rais wa Baraza la Maaskofu Sierra Leone), Askofu Gabriel Akwasi Ababio MANTE( Jasikan,
Ghana).
Askofu Raphaël Balla GUILAVOGUI, ( N'Zérékoré, Guinea), Askofu Juan
NSUE EDJANG MAYÉ, ( Ebebiyin, na makamu wa Rais wa Baraza laMaaskofu Equatoria Guinea).
Kardinali John NJUE, (Nairobi, na Rais wa Baraza la Maaskofu Kenya), AskofuMkuu Peter
J. KAIRO, ( Nyeri Kenya). Askofu Mkuu Gerard Tlali LEROTHOLI, O.M.I.( Maseru, na Rais
wa Baraza la Maaskofu Lesotho), Askofu Anthony Fallah BORWAH, (Gbarngal Liberia),
Askofu Rosario Saro VELLA, S.D.B.( Ambanja Madagascar), Askofu Thomas Luke MSUSA,
S.M.M.,( Zomba Malawi), Askofu Jean-Baptiste TIAMA( Sikasso, NA Rais wa Baraza la
Maaskofu Mali), Askofu Adriano LANGA, O.F.M., ( Inhambane Msumbiji),Askofu Phillip
PÖLLITZER, O.M.I., (Keetmanshoop Namibia,
Askofu Matthew Hassan KUKAH,( Sokoto
Nigeria), Askofu Emmanuel Adetoyese BADEJO,(Oyo Nigeria ),Askofu John Ebebe AYAH,
( Ogoja Nigeria )Askofu MAHUZA YAVA, S.D.S., (Askofu a Jina Apisa na vika wa kitume
katika visiwa vya Comoro), Askofu ard MATHOS, ( Bambari na Rais wa Baraza la Maaskofu
Jamuhuri ya Afrika Kati)Askofu Jean Damascène BIMENYIMANA, ( Cyangugu Rwanda) Askofu
Ernest SAMBOU, (i Saint-Louis du Sénégal Senegal), Askofu Edward Hiiboro KUSSALA,
(Tombura-Yambio Sudan).
Askofu Salutaris Melchior LIBENA,( Ifakara Tanzania)Askofu
Beatus KINYAIYA, O.F.M. ( Mbulu Tanzania). Askofu Nicodème (Anani Togo9, BARRIGAH-BÉNISSAN,
( Atakpamé) Askofu Joseph Anthony ZZIWA, Kiyinda-Mityana Uganda) Askofu Sanctus Lino
WANOK,( Nebbi Uganda) Askofu Benjamin PHIRI, Askofu wa Jina Nachingwea, na Askofu
Msaidizi wa Chipata Zambia)AskofuMkuu Alexander Thomas KALIYANIL, S.V.D., Bulawayo
zimbabwe).
Pamoja nao pia Papa amewateua Kardinali Polycarp PENGO ( Dar es
Salaam Tanzania , ambaye pia ni Rais wa SECAM), na Askofu Mkuu John Olorunfemi ONAYEIKAN(
Abuja Nigeria).