2012-09-13 06:42:26

Jubilee ya miaka 75 ya Kituo cha Yatima Mgolole


Masista wa Mgolole waadhimisha jubilee ya miaka 75.
Masista wa Moyo safi wa Bikira Maria, wa Mgolole Morogoro Tanzania, Jumatatu waliadhimisha miaka 75, - tangu kufunguliwa kwa nyumba yao ya kutunza yatima na watu wahitaji.
Ibada ya Misa kwa ajili ya adhimisho la Jubilee hii, imeongozwa na Askofu Telephore Mkunde wa Jimbo la Morogoro. Katika mahubiri yake , amesifu kazi za masista hao akisema RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.