2012-09-12 14:04:30

Tahariri " Kuelekea Lebanon"


Wazo Kuu katika Tahariri ya Wiki hii ya Padre Federico Lombardi, Mkurugezi wa Radio Vatican, ni ”Kuelekea Lebanon”.
Padre Lombardi, anasema, wengi wanaitaja ziara hii kwamba inaonyesha Ushupavu na matumaini makubwa ya Baba Mtakatifu Benedkito XV1, katika ufanikishaji wa umoja na amani, katika kila kona ya dunia.
Papa anakwenda Lebanon , kuwasilisha waraka muhimu wa maisha na utume wa Kansia Katoliki katika eneo la Mashariki ya Kati,katika kuishuhudia Injili ya Upendo wa Kristu na uwajibikaji wa Kanisa kama chombo cha kuhamasisha majadiliano na amani miongoni mwa jamiiya Mashariki ya Kati.
Lebanon, ambayo ina idadi kubwa ya Wakatoliki, ilichanguliwa tangu mapema, hata kabla Syria haijaingia katika machafuko ya kisiasa, yenye umwagajiwa damu yanayoendelea sasa. RealAudioMP3








All the contents on this site are copyrighted ©.