2012-09-12 14:05:07

Papa aendelea kuitafakari sala ya Muumini


Baba Mtakatifu Benedikto XV1, Jumatano hii akitoa katekesi kwa mahujaji na wageni waliokusanyika Vatican aliendelea kutoa mafundishojuu ya sala ya Muumini. Na aliangalisha katika kitabu cha Ufunuo wa Yohane katiak agano jipya akisema, Kitabu cha Ufunuo wa Yohane ni kati ya vitabu vigumu kueleweka , lakini kina utajiri mkubwa wa imani. RealAudioMP3








All the contents on this site are copyrighted ©.