Tarehe 31 Mei 2017 Kardinali Lubomyr Husar ameitwa na Bwana Mungu. Kardinali Lubomyr Husar Askofu Mkuu mstaafu wa Kyiv-Halyč nchini Ucrane alizaliwa tarehe 26 Februari 1933 huko Lviv.Kufuatia na kifo chake Baraza la Makardinali kwa sasa wanabaki 221.
Sr Angela Rwezaula
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican
All the contents on this site are copyrighted ©. |