2016-12-10 16:15:00

Tunaishi katika dunia ya masumbuko na hofu kwa upande wa kisiasa jamii na utamaduni


Katika kuadhimisha siku ya  haki za binadamu , Shirika la habari al Sir linatoa ripoti ya kuwa tunaishi katika dunia ya masumbuko kwa upande wa kisiasa  jamii na utamaduni. Daima watu hawajiamini , kutokana na msukosuko ambao uzaa hofu .Kutokana na tukio la   siku ya kimataifa ya haki na amani iliyofanyika 10 Desemba  2106 huko Uswis, Muungano wa makanisa ya Uswis yametoa tamko kufuatia siku hiyo likisema linakumbusha nyenzo za kupambana na hali ya  misukosuko na hofu  ni haki ya binadamu,  pamoja na kwamba siyo daima zinatekelezwa bali kila siku inabidi kupambania

Aidha katika habari  hiyo ilielezea  juu ya kuondoa sheria ya kifo kwa kudumisha usalama, na si hiyo tu bali maana yake ni kuondoa sheria ya kifo duniani na kudumisha haki  katika huru na usalama ambao uwe uhuru wa mawazo na dini, haki kwa wahamiaji na wanao oomba  makazi , kulindwa inapohitajika , kuondoa  kwa nguvu katika nchi  inapotakiwa , kuheshimu  utaifa na tamaduni na dini,kwaajili ya  maendeleo endelevu.

Vile vile waligusia juu ya ubaguzi,  ya kwamba haki na amani inaamaanisha katika siku hiyo kurudia kwa upya majukuma yao na kukataa aina zote za ubaguzi  ikiwa na maana ya ubaguzi wa aina nyingi kama vile utumwa mamboleo na aina zake zote  kama chuki, matusi, yanayojitokeza katika mitandao ya kijamii na pia kutaadharisha   kwamba kukubali makosa kwa upande wa baadhi ya watendaji wa jamii ndani ya mitandao  ufungulia milango ya kutokovumiliana.

Na mwisho walisema Haki za binadamu "hazigawanyiki", wanakumbusha  mashirika yote ni  lazima kuhakikisha wanatunza  utu "kwa watu binafsi na jamii": Kwasasa hali ya hofu inatutaka tuendelee mbele na ahadi zetu za uwajibikaji.

 

 








All the contents on this site are copyrighted ©.