2016-04-08 08:11:00

Uteuzi


Baba Mtakatifu  Francisko amekubali ombi la kujiuzulu kutoka huduma za Kichungaji kwa Jimbo Katoliki la  Keta-Akatsi, Ghana, lililo wasilishwa na Askofu  Anthony Kwami Adanuty kwa mujibu wa kanuni 401 § 1. Katika nafasi  ya kiti hicho kilichobaki wazi, , Papa amemteua kuwa Msimamizi wa Kitume  Askofu  Emmanuel Fianu, S.V.D  wa Jimbo Katoliki la  Ho. 








All the contents on this site are copyrighted ©.