Baba Mtakatifu Francisko tarehe 15 Machi 2016 majira ya 4:00 asubuhi kwa saa za Ulaya, anatarajiwa kuongoza kikao cha kawaida cha Makardinali, ambamo Kanisa litapitisha majina ya wenyeheri watano, wanaotarajiwa kutangazwa kuwa watakatifu kwa mwaka mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu. Wenyeheri hawa ni:
Taarifa hii imetolewa na Monsinyo Guido Marini, Mshereheshaji mkuu wa Ibada za Kipapa.
Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S.
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.
All the contents on this site are copyrighted ©. |