2015-12-08 16:01:00

Askofu mwandamizi Alesandro ateuliwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Garissa


Baba Mtakatifu Francisko ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu Paul Darmanin wa Jimbo Katoliki Garissa, Kenya kadiri ya sheria za Kanisa Namba 401, Ibara 1 la kutaka kung’atuka kutoka madarakani. Wakati huo huo, Baba Mtakatifu amemteua Askofu mwandamizi Joseph Alesandro kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Garissa, Kenya.

Na RAM.








All the contents on this site are copyrighted ©.