2014-12-22 09:48:53

Balozi Marmo achonga na Radio Vatican!


Mheshimiwa Philip Marmo, Balozi wa Tanzania mjini Vatican katika mahojiano maalum na Radio Vatican anaelezea kwa ufupi historia na uzoefu wake katika taaluma ya kutunga sheria za Bunge, Miaka 25 ya Ubunge pamoja na changamoto alizokabiliana nazo katika uwanja wa kisiasa nchini Tanzania. RealAudioMP3

Itakumbukwa kwamba, Balozi Marmo amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko, hivi karibuni mjini Vatican pamoja na kupata nafasi ya kuonana na kuzungumza na viongozi mbali mbali wa Vatican, tayari kuanza kutekeleza dhamana na wajibu wake kama Balozi wa Tanzania mjini Vatican.

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S.
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.All the contents on this site are copyrighted ©.