2014-11-08 13:52:27

Uteuzi mpya:


Baba Mtakatifu amemteua kuwa msimamizi wa kitume wa Mamlaka ya kijeshi ya Malta, Kardinali Raymond Leo Burke, aliyekuwa Msimamizi wa Mahakama Kuu Kitume ya Signatura.
Na katika nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Kardinali Burke, imejazwa na Askofu Mkuu Dominique Mamberti, Askofu Mkuu wa jina wa Sagona, ambaye alikuwa Katibu wa Mahusiano na nchi zingine kwa Vatican. Katika nafasi yake, Papa amemteua kuwa Katibu kwa Mahusiano na nchi zingine, Askofu Mkuu Paul Richard Gallagher, Askofu Mkuu wa jina wa Askofu Mkuu wa Hodelm, ambaye ni Mjumbe wa Kitume wa Papa nchini Australia.








All the contents on this site are copyrighted ©.