2014-11-01 11:21:18

Mifano bora ya maisha, ina mvuto na mashiko, lakini unafiki...!


Mchakato wa Uinjilishaji katika mapambazuko ya Millenia ya tatu ya Ukristo unajikita kwa namna ya pekee katika ushuhuda wa maisha adili na matakatifu yanayodhihirisha imani tendaji. Huu ni wakati wa kuhakikisha kwamba, Injili inamwilisha katika matendo, ili iweze kuleta mguso na mashiko katika maisha ya watu!

Baba Mtakatifu Franciko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, mifano bora ya maisha ina mashiko na kwamba, unafiki unawatendea watu vibaya.








All the contents on this site are copyrighted ©.