2014-07-05 13:14:21

Askofu John Ebebe Ayah ateuliwa kuwa Askofu mpya Jimbo Katoliki la Uyo, Nigeria


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu John Ebebe Ayah kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Uyo, Nchini Nigeria kwa kumhamisha kutoka Jimbo Katoliki la Ogoja, Nigeria. Wakati huo huo, Baba Mtakatifu amemteua Askofu John Ebebe Ayah kuwa ni Msimamizi wa kitume Jimbo Katoliki la Ogoja, Nigeria.







All the contents on this site are copyrighted ©.