2014-06-27 11:46:24

Orodha ya Maaskofu wakuu watakaopewa Pallio Takatifu


Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani, Jumapili ijayo anatarajiwa kutoa Pallio Takatifu, kielelezo cha Kristo mchungaji mwema anayejisadaka kwa ajili ya kuwatafuta Kondoo waliopotea. Mchungaji mwema anahamasishwa kuyatoa maisha yake kwa ajili ya Kondoo wake kwa Maaskofu wakuu 27; kati yao kuna Maaskofu 6 kutoka Barani Afrika. Kutoka Afrika Mashariki ni Maaskofu wafuatao:

Askofu mkuu Thomas Luke Msusa wa Jimbo kuu la Blantyre, Malawi.
Askofu mkuu Emmanuel Obbo, Jimbo kuu la Tororo, Uganda.
Askofu mkuu Damian D. Dallu, Jimbo kuu la Songea Tanzania.
Askofu mkuu Tarcisius G. Ziyaye, Jimbo kuu la Lilongwe, Malawi.

Katika Ibada hii, Maaskofu watatu hawataweza kuhudhuria na hatimaye kushiriki Ibada itakayoongozwa na Baba Mtakatifu Francisko kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican Jumapili iyajo! Kati yao ni Askofu mkuu Tarcisius G. Ziyaye wa Jimbo kuu la Lilongwe, Malawi.

ORODHA YA MAASKOFU WAKUU WATAKAOPEWA PALLIO TAKATIFU KWA MWAKA 2014

03.07.2013
Askofu mkuu Victor Henry THAKUR

Jimbo kuu la Raipur (India)
04.07.2013
Askofu mkuu José Rafael QUIRÓS QUIRÓS

Jimbo kuu la San José de Costa Rica (Costa Rica)
13.07.2013
Askofu mkuu Giuseppe FIORINI MOROSINI, O.M.

Jimbo kuu la Reggio Calabria-Bova (Italia)
24.07.2013
Askofu mkuu Leo W. CUSHLEY

Jimbo kuu la Saint Andrews and Edinburgh (Scozia)
18.09.2013
Askofu mkuu Jaime SPENGLER, O.F.M.

Jimbo kuu la Porto Alegre (Brasile)
10.10.2013
Askofu mkuu Jean-Luc BOUILLERET

Jimbo kuu la Besançon (Francia)
29.10.2013
Askofu mkuu Leonard Paul BLAIR

Jimbo kuu la Hartford (U.S.A.)
29.10.2013
Askofu mkuu Gabriel ‘Leke ABEGUNRIN

Jimbo kuu la Ibadan (Nigeria)
14.11.2013
Askofu mkuu Sebastian Francis Shaw, O.F.M.

Jimbo kuu la Lahore (Pakistan)
18.11.2013
Askofu mkuu Franz LACKNER, O.F.M.

Jimbo kuu la Salzburg (Austria)
21.11.2013
Askofu mkuu Thomas Luke MSUSA, S.M.M.

Jimbo kuu la Blantyre (Malawi)
27.11.2013
Askofu mkuu Benjamin Marc Balthason RAMAROSON, C.M.

Jimbo kuu la Antsiranana (Madagascar)
14.12.2013
Askofu mkuu René Osvaldo REBOLLEDO SALINAS

Jimbo kuu la La Serena (Cile)
30.12.2013
Askofu mkuu Marlo M. Peralta

Jimbo kuu la Nueva Segovia (Filippine)
02.01.2014
Askofu mkuu Emmanuel OBBO, della Congr. degli Apostoli di Gesù

Jimbo kuu la Tororo (Uganda)
11.02.2014
Askofu mkuu Daniel Fernando Sturla Berhouet, S.D.B.

Jimbo kuu la Montevideo (Uruguay)
27.02.2014
Askofu mkuu Marco Arnolfo

Jimbo kuu la Vercelli (Italia)
14.03.2014
Askofu mkuu Damian Denis DALLU

Jimbo kuu la Songea (Tanzania)
15.03.2014
Askofu mkuu Romulo T. de la Cruz

Jimbo kuu la Zamboanga (Filippine)
21.03.2014
Askofu mkuu Malcolm Patrick McMAHON, O.P.

Jimbo kuu la Liverpool (Inghilterra)
22.03.2014
Askofu mkuu Paul Bùi Văn Đoc

Jimbo kuu la Thành-Phô Hô Chí Minh, Hôchiminh Ville (Viêt Nam)
17.05.2014
Askofu mkuu Wojciech POLAK

Jimbo kuu la Gniezno (Polonia)
28.05.2014
Askofu mkuu José Luiz Majella DELGADO, C.SS.R.

Jimbo kuu la Pouso Alegre (Brasile)
03.06.2014
Askofu mkuu Agustinus AGUS

Jimbo kuu la Pontianak (Indonesia)Maaskofu wakuu wafuatao hawatahudhuria katika Ibada hii nao ni:
03.07.2013
Askofu mkuu Tarcisius Gervazio ZIYAYE

Jimbo kuu la Lilongwe (Malawi)
2.
03.04.2014
Askofu mkuu Nicholas MANG THANG

Jimbo kuu la Mandalay (Myanmar)
3.
30.05.2014
Askofu mkuu Stephan BURGER

Jimbo kuu la Freiburg im Breisgau (Germania)


All the contents on this site are copyrighted ©.