2014-06-12 11:09:14

Papa Francisko anawatakia kheri wanamichezo wa Kombe la Dunia 2014


Wakati nyasi za viwanja vya michezo nchini Brazil zinaanza kuwaka moto kwa mashindano ya Kombe la Dunia kwa Mwaka 2014, Baba Mtakatifu Francisko anawatakia wanamichezo wote furaha na kwamba, wacheze wakisukumwa na moyo wa udugu!All the contents on this site are copyrighted ©.