2014-05-28 09:56:29

Amejifungua mtoto wake akiwa gerezani!


Mama Meriam Yahaya Ibrahim Ishaq, aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuasi dini ya Kiislam na kuolewa na Mkristo, amejifungua mtoto wake wa pili akiwa gerezani. Mama Meriam anasema katika maisha yake hajawahi hata siku moja kuwa ni mwamini wa dini ya Kiislam, lakini kadiri ya Sharia, mtoto wa Mwamini wa dini ya Kiislam ni Muislam tu!







All the contents on this site are copyrighted ©.