2014-05-03 15:55:19

Askofu mkuu Martin Kreb ateuliwa kuwa Balozi Mpya wa Vatican Visiwani Marshall na Nauru


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Martin Krebs kuwa Balozi mpya wa Vatican kwenye Visiwa vya Marshall na Nauru. Ataendelea pia kuwa ni Balozi wa Vatican huko New Zealand Visiwa vya Cook, Fiji, Kribati, Palau, Samoa, Shirikisho la Micronesia, Tonga, Vanuatu na mwakilishi wa kitume kwenye Bahari ya Pacific.







All the contents on this site are copyrighted ©.