Askofu Anselmo Guido Pecorari ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Bulgaria
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Anselmo Guido Pecorari, kuwa Balozi
Mpya wa Vatican nchini Bulgaria. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Pecorari alikuwa
ni Balozi wa Vatican nchini Uruguay.