2014-04-21 12:09:36

Kristo amefufuka kweli kweli alleluiya!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anatamka kwamba, Kristo amefufuka, Alleluiya. Baba Mtakatifu anaendelea kusema kwamba, kila mara mwamini anapokutana na Kristo anakirimiwa furaha ya kweli inayopata chimbuko lake kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Kwa maneno haya ya Baba Mtakatifu Francisko, Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican inakutakia kheri na baraka katika Maadhimisho ya Siku kuu ya Pasaka kwa Mwaka 2014.All the contents on this site are copyrighted ©.