2014-04-16 16:10:27

Uteuzi wa Askofu wa Abeokuta (Nigeria)



Baba Mtakatifu amemteua kuwa msimamizi maalum wa Jimbo la Abeokuta, Nigeria, Askofu Peter Kayode Odetoyinbo, Paroko na Mwakilishi Mkuu wa Jimbo Kuu la Ibadan. ยป

Mheshimiwa Askofu Peter Kayode Odetoyinbo , alizaliwa katika Januari 28, 1964 katika Jimbo Kuu la Ibadan. Baada ya kuhudhuria shule za msingi alijiunga na Seminari Kuu ya Watakatifu Petro na Paulo ya Bodija , Ibadan, ambapo yeye alisoma falsafa na theolojia. Yeye ndiye aliyeteuliwa Mkuu tarehe 7 Oktoba 1989 kwa ajili ya Jimbo Kuu la Ibadan.

Jimbo la Abeokuta limekuwa wazi tangu Mei 25, 2012 , kufuatia uhamisho wa Askofu Alfred Adewale Martins wa Jimbo Kuu la Lagos.








All the contents on this site are copyrighted ©.