2014-03-13 14:43:10

Naombeni sala zenu!


Mama Kanisa anapomwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa ajili ya maisha na huduma inayotolewa na Baba Mtakatifu Francisko, mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki, Papa Francisko anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kumwombea kwa maneno machache kabisa katika lugha ya Kilatini, "Orate pro me!







All the contents on this site are copyrighted ©.