2014-02-27 14:21:12

Posho ya wazee yaongezeka- Afrika Kusini.


Jumatano, waziri wa Fedha wa Afrika Kusini, Pravin Gordhan, alitangaza posho ya serikali kwa wazee na wenye ulemavu, imeongezwa kutoka R1 270 to R1 350 tangu mwezi April 2014..
Waziri Gordhan, alieleza hilo katika hotuba ya Bajeti kwa utawala wa Rais Jacob Zuma. Amesema serikali imeweza kutoa misaada mingi kwa wahitahji zaidi na kwamba wanapania kutoa msaada kwa watu millioini 16.5 katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.








All the contents on this site are copyrighted ©.