2014-02-24 12:21:41

Mzee Kaunda wa Zambia ni mgonjwa amelazwa!


Mzee Kenneth Kaunda, Muasisi wa Taifa la Zambia, Jumapili iliyopita alilazimika kulazwa Hospitalini mjini Lusaka, Zambia kutokana na afya yake kuanza kudhoofu. Rais Michael Sata wa Zambia amekwenda kumsalimia na kusema kwamba, hali yake inaendelea vyema kwa sasa.

Itakumbukwa kwamba, Mzee Kaunda ana umri wa miaka 89 ni kati ya Marais waliokuwa mstari wa mbele katika ukombozi, Kusini mwa Afrika.







All the contents on this site are copyrighted ©.