2014-02-02 14:02:52

Yesu apewe kipaumbele cha kwanza katika maisha!


Mama Kanisa kila Mwaka ifikapo tarehe 2 Februari anaadhimisha Siku ya Watawa Duniani iliyoanzishwa na Mwenyeheri Yohane Paulo wa Pili kunako Mwaka 1997 kwa kuthamini mchango wa maisha na utume unaotolewa na Watawa sehemu mbali mbali za dunia.

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya Watawa Duniani anawaalika Watu wa Familia ya Mungu kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Yesu katika maisha yao!







All the contents on this site are copyrighted ©.