2014-01-27 10:49:54

Vijana msiridhike na maisha yenu ya sasa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaalika kwa namna ya pekee vijana kutoridhika na hali ya maisha walionayo kwa sasa. Anawataka vijana waguswe na kile kilicho cha kweli na kizuri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.