2014-01-04 11:36:42

Washirikisheni wengine furaha inayobubujika kutokana na urafiki wenu na Yesu!


Katika pilika pilika za Maadhimisho ya Noeli na Mwaka Mpya 2014, vijana ambao kimsingi ndio wadau wakuu katika mambo haya, Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha vijana kwamba, Yesu anapenda kujenga na kuimarisha urafiki na kwamba, anawataka vijana kuwamegea wengine furaha inayobubujika kutokana na urafiki huu.







All the contents on this site are copyrighted ©.