2014-01-02 11:02:25

Mwenyezi Mungu hakujifua kwa nguvu na vitisho bali katika hali ya unyenyekevu!


Katika Kipindi hiki cha Noeli, waamini na watu wenye mapenzi mema wanapoendelea kutafakari Fumbo la Umwilisho, Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Mwenyezi Mungu hakujifunua kwa nguvu na uweza mkuu, bali katika hali ya unyenyekevu na unyonge inayojionesha kwa Mtoto mchanga!







All the contents on this site are copyrighted ©.