2013-12-26 10:52:44

Salini kwa ajili ya wale wanaoteseka kutokana na imani yao!


Pango la Noeli ni alama ya mahali ambapo Mtoto Yesu alizaliwa katika hali ya umaskini, ili kuonesha utajiri wa imani katika Fumbo la Umwilisho. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaomba waamini na watu wote wenye mapenzi mema wakati huu wanapotembelea na kusali kwenye Mapango ya Noeli, kusali hasa zaidi kwa ajili ya watu wote wanaoteseka kutokana na imani yao!







All the contents on this site are copyrighted ©.