2013-12-21 15:35:11

Askofu mkuu Charles Daniel Balvo ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Sudan ya Kusini


Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 21 Desemba 2013 amemteua Askofu mkuu Charles Daniel Balvo, kuwa Balozi wa kwanza wa Vatican nchini Sudan ya Kusini. Askofu Balvo pia ni Balozi wa Vatican nchini Kenya.







All the contents on this site are copyrighted ©.