2013-12-18 12:00:23

Askofu mkuu Luigi Bonazzi ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Canada


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Luigi Bonazzi, kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Canada. Kabla ya uteuzi wake, Askofu mkuu Luigi Bonazzi alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Lithuania, Estonia na Lettonia.







All the contents on this site are copyrighted ©.