2013-12-16 09:29:12

Monsinyo Georges Varkey Puthiyakulangara ateuliwa kuwa Askofu mwandamizi Jimbo Katoliki la Port-Bergè, Madagascar


Baba Mtakatifu Francisko tarehe 15 Desemba 2013 amekubali ombi la kung'atuka kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Askofu Armand Toasy wa Jimbo Katoliki la Port- Bergè kadiri ya sheria za Kanisa namba 401§ 2.

Baba Mtakatifu amemteua Monsinyo Georges Varkey Puthiyakulangara kuwa Askofu mwandamizi wa Jimbo hilo.







All the contents on this site are copyrighted ©.