2013-12-06 15:46:52

Msalaba ni kielelezo cha upendo wa kweli!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, Msalaba ni kielelezo cha upendo wa kweli. Anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kumwomba Kristo nguvu ya kuweza kukubali na kubeba vyema Misalaba ya maisha yao!







All the contents on this site are copyrighted ©.