2013-12-03 15:30:53

Jengeni urafiki na Yesu, ili awaonjeshe upendo wa dhati!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawakumbusha kwamba, wote wanaalikwa kujenga na kudumisha urafiki na Yesu. Anawataka wasiwe na wasi wasi wa kujiachilia mikononi mwa Yesu ili aweze kuwaonjesha upendo wake wa dhati!







All the contents on this site are copyrighted ©.