2013-12-02 15:11:30

Bwana nisamehe, nisaidie kusimama, badili moyo wangu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawauliza kama wanajisikia kuelemewa mno na uzito wa dhambi wanazotenda! Wapige moyo konde na kumwendea Kristo ili kuomba huruma na msamaha wakisema! Bwana nihurumie, nisaidie kusimama tena, badilisha moyo wangu!







All the contents on this site are copyrighted ©.