2013-11-29 10:04:57

Jifunzeni kuwa wanyenyekevu kwa Neno la Mungu


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaalika kuwa wanyenyekevu kwa Neno la Mungu, tayari kuona maajabu ya Mungu anayezungumza na waja wake!







All the contents on this site are copyrighted ©.