2013-11-26 08:08:45

Jitoeni barabara kwa ajili ya maskini!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, kuishi Injili yaUpendo maana yake si mtu kutafuta masilahi yake binafsi na badala yake watu wajitoe bila ya kujibakiza kwa ajili ya maskini na wanyonge katika Jamii.







All the contents on this site are copyrighted ©.