2013-11-21 15:42:46

Utakatifu ni wito wa kila mtu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaambia kwamba, utakatifu si upendeleo kwa watu wachache, bali ni wito kwa kila mtu!







All the contents on this site are copyrighted ©.