2013-11-19 15:30:08

Watakatifu walishibishwa kwa upendo wa Mungu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, watakatifu ni watu wa kawaida, watu walioshibishwa kwa upendo wa Mungu, kiasi cha kuwashirikisha wengine furaha inayobubujika kutoka kwa Kristo na Kanisa lake.








All the contents on this site are copyrighted ©.