2013-11-16 15:41:16

Madonda Mtakatifu ya Yesu ni chemchemi ya huruma, nguvu na matumaini kwa Wakristo!


Wakati huu Mama Kanisa anapojiandaa kufunga Mwaka wa Imani kwa Sherehe ya Kristo Mfalme wa Ulimwengu, Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha waamini na watumiaji wa mitandao ya kijamii katika ujumla wao kwamba, Yesu ameendelea kutunza Madonda yake Matakatifu, ili kuwaonjesha waamini na watu wenye mapenzi mema huruma yake.

Hii ndiyo chemchemi ya nguvu na matumaini kwa Wafuasi wa Kristo.







All the contents on this site are copyrighted ©.