2013-11-13 16:01:41

Papa Francisko Alhamis kutembelea Ikulu ya Italia


Papa Francisko Alhamiso hii 14 Novemba 2013, anatazamia kumtembelea Rais Giorgio Napolitano wa Italia katika makao makuu yake ya mjini Roma, yanayojulikana kwa jina Quirinale.

Papa Pio X11, alikuwa ni Papa wa kwanza, kuitembelea Ikulu ya Italia, hapo Desemba 28 , 1939, ambako alikutana na Mfalme Victoria Emmanuel 11 na Malkia Elena.







All the contents on this site are copyrighted ©.