2013-11-09 15:15:49

Yesu Kristo apewe kipaumbele cha kwanza


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, maisha ya mwamini hayana budi kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Yesu Kristo. Mambo mengine yote ni ziada.







All the contents on this site are copyrighted ©.