Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema
kwamba, Kanisa karibu linafunga Mwaka wa Imani ambao umekuwa ni kipindi cha neema
na baraka. Anamwomba Kristo awasaidie waamini kumwilisha Injili kwa dhati kabisa katika
maisha yao!