2013-11-06 15:04:30

Askofu mkuu Santo Gangemi ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Guinea


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Santo Gangemi, kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Guinea. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Gangemi alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Papua New Guinea na Visiwa vya Solomoni.







All the contents on this site are copyrighted ©.