2013-11-04 15:11:45

Asanteni sana Wamissionari kwa huduma kwa Mungu na jirani!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru Wamissionari wote; wake kwa waume wanaotekeleza utume wao kwa ajili ya Kristo na Jirani zao bila ya kupiga makelele!







All the contents on this site are copyrighted ©.