2013-11-02 15:24:53

Salini daima na kwa uvumilivu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawakumbusha kwamba, mapambano dhidi ya dhambi ni magumu na endelevu; jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba, waamini wanajenga utamaduni wa kusali daima na kwa uvumilivu!







All the contents on this site are copyrighted ©.