2013-10-30 13:54:13

Askofu mkuu Job ang'atuka na Papa amemteua Askofu Osobo kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Ibadan


Baba Mtakatifu Francisko tarehe 29 Oktoba 2013, amekubali ombi la Askofu mkuu Felix Alaba Adeosin Job wa Jimbo kuu la Ibadan, Nigeria kutoka madarakani kadiri ya sheria za Kanisa Namba 401ยง 1.

Baba Mtakatifu ameteua Askofu Gabriel Leke Abegunrin kuwa Askofu mkuu mteule wa Jimbo kuu la Ibadan. Kabla ya uteuzi huu, Askofu Abegunrin alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Osobo, Nigeria.







All the contents on this site are copyrighted ©.