2013-10-27 10:27:13

Wafuasi wa Papa Francisko katika twitter wametimia millioni 10!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawashukuru watumiaji wa mitandao hii ambao idadi yake imefikia millioni kumi. Anawaalika kuendelea kusali kwa ajili ya maisha na utume wake.







All the contents on this site are copyrighted ©.